GET /api/v0.1/hansard/entries/1135677/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1135677,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135677/?format=api",
"text_counter": 216,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen Wetangula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 210,
"legal_name": "Moses Masika Wetangula",
"slug": "moses-wetangula"
},
"content": "Bw. Spika, Mungu yuko na Mungu hubaki Mungu, hana jina lingine. Wale wakorofi waliotaka kuvuruga chama chetu cha FORD-Kenya, walishindwa vibaya. Tukikutana na wale ambao walikuwa wanawaunga mkono, wana haya na hawataki kutusalimia. Wanatoroka wakituona kila mahali tukienda."
}