GET /api/v0.1/hansard/entries/1136973/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1136973,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1136973/?format=api",
"text_counter": 499,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Jane Chebaibai",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Elgeyo/Marakwet (CWR), JP): Watu wameuawa na wenzao, lakini hakuna mtu amechukua maanani kabisa. Leo tumekuja kuketi hapa ili watu watutukane. Tumekuja kuketi hapa tuzungumzie mambo ambayo inadhulumu taifa la hustlers . Tumenyanyaswa kwa muda mrefu katika taifa la Kenya. Watu wa Elgeyo/Marakwet na Kerio Valley wamekufa. Tumezungumzia jambo hilo hapa, lakini hakuna mtu anatia maanani. Naona tunapoteza wakati leo."
}