GET /api/v0.1/hansard/entries/1137507/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1137507,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1137507/?format=api",
    "text_counter": 438,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Elgeyo/Marakwet CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Jane Chebaibai",
    "speaker": null,
    "content": " Watu wameuawa na wenzao, lakini hakuna mtu amechukua maanani kabisa. Leo tumekuja kuketi hapa ili watu watutukane. Tumekuja kuketi hapa tuzungumzie mambo ambayo yanadhulumu taifa la hustlers . Tumenyanyaswa kwa muda mrefu katika taifa la Kenya. Watu wa Elgeyo/Marakwet na Kerio Valley wamekufa. Tumezungumzia jambo hilo hapa, lakini hakuna mtu anatia maanani. Naona tunapoteza wakati leo."
}