GET /api/v0.1/hansard/entries/114767/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 114767,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/114767/?format=api",
"text_counter": 261,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "La pili, Bw. Naibu Spika wa Muda, sisi hivi sasa tuko katika hiki chamber k i nachoitwa Old Chamber . Hapa ndipo tarehe ya Taifa letu la Kenya kujinyakulia Uhuru kwa mara ya kwanza, ilipotengenezwa kupitia Sheria za nchi hii. Hii Old Chamber ina"
}