GET /api/v0.1/hansard/entries/114791/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 114791,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/114791/?format=api",
"text_counter": 285,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Yakub",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 378,
"legal_name": "Sheikh Yakub Muhammad Dor",
"slug": "sheikh-dor"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, kuna swala muhimu ambalo Rais amekuwa akilitaja mara kwa mara katika Hotuba yake; Wabunge kujitolea kwa dhati kuwahudumia wananchi wa Kenya. Haya ni mambo ambayo, mara kwa mara, tunapaswa kujikumbusha kama Wabunge."
}