GET /api/v0.1/hansard/entries/1159409/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1159409,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1159409/?format=api",
"text_counter": 96,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Tukiunda hizi sheria, tufikirie kuna sehemu zingine hapa Kenya ambazo mpaka sasa hazina hata Wi-Fi . Tukizungumzia kuhusu kufungua Kenya kwa dunia nzima, tufikirie zile shule ambazo bado zinatumia tarakilishi, lakini hazina network ama hata Wi-fi . Nyinyi wataalamu katika sekta ya ICT na Kamati wachukue nafasi kuzingatia hayo. Wengine wamepelekwa mbele zaidi na pengo litakuwa kubwa sana. Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda."
}