GET /api/v0.1/hansard/entries/1161513/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1161513,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1161513/?format=api",
"text_counter": 109,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "zimeenda juu wakati wa “ handshake” . Nataka kumweleza ya kwamba “ handshake” ilikuja baadaye. Hata mtu akitaka kupata mtoto, mama akishika mimba, inachukua miezi tisa ndipo azae. Kwa hivyo, sisi tukiingia wakati wa “ hand shake”, ile mimba ya ule ubaya ilikuwa iko tayari."
}