GET /api/v0.1/hansard/entries/1161515/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1161515,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1161515/?format=api",
    "text_counter": 111,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asiseme saa hizi. Sisi tumekuja tukaipata juu tu. Asiseme kwamba, fertilizer imeenda juu baada ya watu kufanya “ hand shake” . Fertilizer bei yake ilikuwa juu wakati uleule wakiwa wao wakiharibu serikali wakati ule wa miaka minne ya kwanza."
}