GET /api/v0.1/hansard/entries/116232/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 116232,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/116232/?format=api",
    "text_counter": 339,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, Waziri Msaidizi anawaomba watu warudishe bunduki lakini ni bunduki gani inarudishwa wakati watu wanaangamizwa katika operesheni? Kwa nini operesheni inafanywa katika jamii fulani pekee yake?"
}