GET /api/v0.1/hansard/entries/1163537/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163537,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163537/?format=api",
    "text_counter": 50,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika, ijapokuwa hawa ni watu wa chama, kuzingatia harakati zao ni kwamba waliweza kuachishwa kazi. Hili ni jambo la kusikitisha sana; kuleta hali ya uchumi mbaya kwenye nyumba za walimu. Walimu hawa wana taaluma ambayo walimu wengine hawana. Wanaanza kufudisha watoto wakiwa bado ni wachanga sana wakati hawajua chochote ikiwemo kusoma."
}