GET /api/v0.1/hansard/entries/1174376/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1174376,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1174376/?format=api",
    "text_counter": 1121,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Vile vile, tumeona ya kwamba mashirika thelathini yetu ya Serikali hayakupata umiliki wa majengo na ardhi yao. Kwa mfano, kuna Shirika la Reli, ama Kenya Railways . Nyumba na ardhi zao nyingi zimechukuliwa na watu binafsi kiholela. Hiyo ni rasilimali ya Wakenya, lakini imechukuliwa kiholela."
}