GET /api/v0.1/hansard/entries/1175343/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1175343,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175343/?format=api",
"text_counter": 322,
"type": "speech",
"speaker_name": "Trans Nzoia CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Nashukuru Mhe. Pukose kwa sababu amekuwa katika Kamati ya Umeme katika Bunge hili. Hakika tunaona matunda yake kule kwetu. Namshukuru sana kwa sababu alifanya kazi nzuri sana kama Naibu Mwenyekiti."
}