GET /api/v0.1/hansard/entries/1176643/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1176643,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1176643/?format=api",
    "text_counter": 474,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Mambo ya kuruka upande huu na kuanza kununua wanasiasa ni jambo la aibu. Utapata kiongozi aliyechaguliwa na wananchi akifika bungeni, anageuza msimamo wake na kuwa rangi nyingine; anaenda upande ambao hakuchaguliwa kwa ajili ya kusisitiza maslahi yake. Ninawaambia ndugu zangu ambao wako na tabia kama hizi waziwache. Hakuna kitu kizuri maishani kama kuwa na msimamo."
}