GET /api/v0.1/hansard/entries/1181275/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1181275,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181275/?format=api",
    "text_counter": 315,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kibwana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 277,
        "legal_name": "Kibwana Kivutha",
        "slug": "kibwana-kivutha"
    },
    "content": "Mimi pia nimekuwa hapo na kusema ukweli, wale Wakenya niliowapata -kwa sababu kusema kweli Airport ya Doha ni ya Wakenya- kila mtu anakuonyesha furaha. Ilibidi niulize kama ni airport ya Wakenya au wameajiriwa."
}