GET /api/v0.1/hansard/entries/1186845/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1186845,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1186845/?format=api",
"text_counter": 192,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Suala la ardhi ni donda sugu sana katika nchi yetu. Mwaka uliopita katika Kaunti yangu ya Kwale kulitokea mkasa mkubwa sana kama huu ambapo hata wiki iliyopita niliukemea sana hapa Bungeni."
}