GET /api/v0.1/hansard/entries/1192095/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1192095,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192095/?format=api",
"text_counter": 112,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kathuri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13590,
"legal_name": "Murungi Kathuri",
"slug": "murungi-kathuri"
},
"content": "Bw. Spika, Seneta wa Mombasa anajua hii kilimo ndio imewezesha watu wake wafaulu. Hio pesa inayodaiwa inachukuliwa na serikali ya Kaunti ya Mombasa kwa kiwango kikubwa sana. Naomba nimfahamishe kwamba m iraa siku hizi ni mmea kama kahawa, miwa, majani chai, korosho na mnazi. Asiharibu mmea unaotulea huko Meru sababu Miraa na"
}