GET /api/v0.1/hansard/entries/1192130/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1192130,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192130/?format=api",
"text_counter": 147,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sifuna",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13599,
"legal_name": "Sifuna Edwin Watenya",
"slug": "sifuna-edwin-watenya"
},
"content": "Bw. Spika, naamini ya kwamba Seneta anaposimama kuzungumza hapa, lazima aweze kuzungumza maswala ambayo anaweza kudhibitisha. Sidhani ya kwamba Seneta wa Kaunti ya Mombasa - ambaye namheshimu sana - anaweza kutoa idhibati yoyote kuonyesha kwamba uvutaji wa bhangi unapelekea watu kuruka vichwa. Hiyo ndiyo hoja yangu ya nidhamu."
}