GET /api/v0.1/hansard/entries/1192795/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1192795,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192795/?format=api",
    "text_counter": 143,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Makueni Kaunti, WDM",
    "speaker_title": "Mhe. Rose Mumo",
    "speaker": null,
    "content": "Ninawashukuru watu wa Makueni kwa kunipatia nafasi ya kuwafanyia kazi kwa awamu ya tatu. Ninawashukuru kwa maana hawaangalii maumbile, bali wanaangalia kazi tunayoichapa. Asante pia kwa Mhe. John Kiarie. Ninashukuru."
}