GET /api/v0.1/hansard/entries/1193555/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1193555,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193555/?format=api",
"text_counter": 280,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": ". Ni yeye mwenyewe ataenda kwa wananchi na kuwauliza wanataka awafanyie nini na pesa zao. Hana sababu ya kwenda kuombaomba. Tupewe uwezo wa kutumia hii NG-CDF kuwalipa hata wale wazee wa mtaa ambao hawalipwi chochote. Tuweze kuwalipa hata kama ni kitu kidogo kupitia hazina hii ya NG-CDF. Imewasaidia walala hoi. Wazee wa mtaa pia ni miongoni mwa watu wanaotatua kesi nyingi na kusaidia katika masuala ya usalama katika maeneo yetu. Ajabu ni kwamba hakuna kitu wanacholipwa. NG-CDF ni chombo muhimu sana. Hivi sasa, shule za umma zina magari ya kuwazungusha watoto katika ziara za elimu kwa sababu ya NG-CDF. Ingekuwa hakuna NG- The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}