GET /api/v0.1/hansard/entries/1194776/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194776,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194776/?format=api",
"text_counter": 91,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mathare, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Anthony Oluoch",
"speaker": null,
"content": " Asante, Mhe. Spika wa Muda. Nilichotaka kuweka wazi ilikuwa kwa Mbunge wa Dagoretti wakati alikuwa analeta hoja ya nidhamu kwa Mhe. Nyikal. Nilitaka kumfahamisha rafiki yangu, Mhe. KJ, kwamba Mhe. Nyikal amejaribu sana. Unajua ‘Kiswahili sio mdomo chetu,’ vile tunavyosema kwa Kijaluo. Ndilo nilikuwa nataka kumfahamisha."
}