GET /api/v0.1/hansard/entries/1194793/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194793,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194793/?format=api",
"text_counter": 108,
"type": "speech",
"speaker_name": "Spika wa Muda (",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Martha Wangari): Asante sana. Waheshimiwa Wabunge, ningependa kuwatambua wanafunzi na waalimu wa Makini School kutoka eneo bunge la Dagoretti Kaskazini, Kaunti ya Nairobi, ambao wameketi kwenye Public Gallery . Kwa niaba yangu na ya Bunge la Taifa, nawakaribisha watazame shughuli za Bunge ukumbini. Nitampa nafasi Mbunge wa Likoni, Mhe. Mishi Mboko."
}