GET /api/v0.1/hansard/entries/1194917/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194917,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194917/?format=api",
"text_counter": 232,
"type": "speech",
"speaker_name": "Spika wa Muda",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Mhe. (Dkt.) Rachael Nyamai): Ahsante Mheshimiwa. Tunapoendelea, ningependa kuwajulisha kwamba tuko na wanafunzi kutoka shule zifuatazo: Mugunda Girls High School, eneo Bunge la Kieni, Nyeri County; Nginda Girls High School, eneo Bunge la Maragwa, Murang’a Kaunti; St. Angela’s Girls High School, eneo Bunge la Kiambaa, Kiambu Kaunti na St. Regina Nairutia Mixed Secondary School, eneo Bunge ya Nyeri Mjini, Nyeri Kaunti. Karibuni katika Bunge."
}