GET /api/v0.1/hansard/entries/1194924/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194924,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194924/?format=api",
"text_counter": 239,
"type": "speech",
"speaker_name": "Spika wa Muda",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Mhe. (Dkt) Rachel Nyamai): Waheshimiwa Wabunge, naona watu wengi walikuwa na haja ya kuzungumzia Hoja hii, lakini muda ambao ulikuwa umetengewa umeisha. Ningependa kumuita Mtoa Hoja ahitimishe mjadala wake. Mhe. Yussuf."
}