GET /api/v0.1/hansard/entries/1194925/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194925,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194925/?format=api",
"text_counter": 240,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kamukunji, JP",
"speaker_title": "Mhe. Yusuf Hassan",
"speaker": {
"id": 398,
"legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
"slug": "yusuf-hassan-abdi"
},
"content": " Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Kwa sababu ya hamu kubwa imeonyeshwa na Wabunge, ningependa kuomba niwape Wabunge watatu ambao wameniomba wakati mdogo. Hao ni Mbunge wa Nandi, Cynthia Muge; Mbunge Rashid Bedzimba wa Kisauni; Mhe. Julius Sankuli wa Kilgoris; na Mheshimiwa wa eneo Bunge la Masinga. Naomba niwape hao wanne dakika moja moja ili waweze kuchangia."
}