GET /api/v0.1/hansard/entries/1195407/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1195407,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1195407/?format=api",
"text_counter": 251,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kaloleni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Paul Katana",
"speaker": null,
"content": "Serikali hii imesema muundo msingi wake ni kuanzia chini kwenda juu. Tunaomba Serikali hii iweze kuwatambua wazee wa mitaa na iangalie ni kiwango gani wanaweza kulipwa ili waweze kuhudumia wananchi."
}