GET /api/v0.1/hansard/entries/1198432/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1198432,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198432/?format=api",
    "text_counter": 69,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Bi. Spika wa Muda, kwa kumalizia, ningependa kuhimiza wafanye haraka kwa sababu kuna wagonjwa, wafanyabiashara na watu tofauti tofauti wanaohitaji huduma za feri . Nasisitiza kuwa Serikali inafaa kuchukua hatua mwafaka haraka iwezekanavyo."
}