GET /api/v0.1/hansard/entries/1201413/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1201413,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201413/?format=api",
"text_counter": 493,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Kufungwa huku kwa biashara na kuwapa nafasi Kenya Airways pekee ni ‘ monopoly’ . Inalemaza uchimi wa Kaunti za pwani. Malindi vile vile ina kiwanja cha ndege ambacho ni cha kiwango cha kimataifa kinacholemaa kwa sababu hiyo. Uwanja wa ndege wa Eldoret kule Uasin-Gishu una ndege nyingi za mizigo. Watu wengi wanapeleka mizigo yao kupitia kule kwa sababu ni rahisi kufanya clearance na kuchukuwa mizigo yao."
}