GET /api/v0.1/hansard/entries/1203769/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1203769,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1203769/?format=api",
"text_counter": 222,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": ", hatuna haja ya kuwa na mtu ambaye hana haja na sisi. Kwa sasa, hao bado ni wanachama wa Azimio-One Kenya Coalition Party na lazima wabaki ndani ya Azimio-One Kenya Coalition Party mpaka wakati utabatilishwa. Bw. Spika, swali hili liliulizwa mapema na Sen. (Prof.) Tom Ojienda, SC. Swala hili lilipozungumziwa, tulilichukulia kama minongono. Sen. Cheruiyot ndiye Seneta mnongono."
}