GET /api/v0.1/hansard/entries/1204058/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1204058,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1204058/?format=api",
"text_counter": 511,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kwa hivyo, mpaka sasa na kulingana na stakabadhi zilizotolewa ni kwamba chama cha UDM bado kiko katika mrengo wa Azimio-One Kenya. Sheria inawatambua kama wanachama wa mrengo wa Azimio-One Kenya mpaka watakapojitoa katika mrengo huo. Kwa sababu hiyo, mwanachama wa mrengo wetu hawezi kupendekezwa na upande wa pili."
}