GET /api/v0.1/hansard/entries/1218815/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1218815,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1218815/?format=api",
"text_counter": 340,
"type": "speech",
"speaker_name": "Magarini, ODM",
"speaker_title": "Hon. Harrison Kombe",
"speaker": null,
"content": "Upatikanaji wa hospitali pia ni jambo la kusikitisha. Ili upate hospitali katika maeneo haya, lazima utembee mwendo mrefu zaidi. Serikali iwafikirie na iwajengee hospitali ili nao wajihisi ni Wakenya."
}