GET /api/v0.1/hansard/entries/1218836/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1218836,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1218836/?format=api",
    "text_counter": 361,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Baringo South, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Charles Kamuren",
    "speaker": null,
    "content": "Kwanza, ninamshukuru sana Rais wetu na Serikali kwa jumla kwa yale yanayoendelea katika maeneo haya. Juzi, baada ya kukutana na viongozi wa maeneo-bunge hayo, alitoa amri ya kuwa wale watu wetu ambao wanahangaika, wapate kushughulikiwa. Baada ya hiyo, kulifanywa g azettement ya operesheni inayoendelea."
}