GET /api/v0.1/hansard/entries/1219606/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1219606,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219606/?format=api",
"text_counter": 228,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Khalwale",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 170,
"legal_name": "Bonny Khalwale",
"slug": "bonny-khalwale"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, huu mjadala ni muhimu kwa sababu yote tunayozungumza hapa yanawekwa katika rekodi. Kwa hivyo, ninaomba ndugu yangu, Sen. Cherarkey, akubali. ‘ Conception’ ni wakati mbegu ya mwanamume inaungana na ya mwanamke katika nyumba ya uzazi."
}