GET /api/v0.1/hansard/entries/1223085/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223085,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223085/?format=api",
"text_counter": 184,
"type": "speech",
"speaker_name": "Luanda, DAP-K",
"speaker_title": "Mhe. Dick Oyugi",
"speaker": null,
"content": "Mhubiri mmoja na mwandishi wa vitabu vingi anayejulikana kama Myles Munroe – ambaye alituacha hivi majuzi – aliandika vitabu vingi sana kuhusu maadili mazuri katika maisha ya mwanadamu. Katika kitabu kimoja, alizungumzia mambo ya ushoga, na akasema kuwa ushoga ni jambo geni; ni jambo la aibu na si nzuri. Ni jambo ambalo limekuwa likizungumziwa nyuma ya pazia, lakini sasa limewekwa wazi. Ushoga haukubaliki na haustahili kukubaliwa katika nchi yetu."
}