GET /api/v0.1/hansard/entries/1225595/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1225595,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225595/?format=api",
"text_counter": 681,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Leader of Minority",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Huu ni wakati mgumu sana kwa waislamu. Ni wakati ambao wamejiweka mbele ya Mwenyezi Mungu. Mhe. Amina Munyazi alionyeshwa madharau ambayo haiyajaonekana ndani ya hii nchi kwa mwanamke wa Kiislamu."
}