GET /api/v0.1/hansard/entries/1229642/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1229642,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229642/?format=api",
"text_counter": 386,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": ". Nawauliza: Raila alikuwa anafanya kazi gani katika kukopa pesa? Mtueleze hapa. Mshahara wangu mimi nimeuona juzi tarehe nane. Huwa tunalipwa tarehe nane? Mshahara ulichelewa; tuambiane ukweli. Hata saa hizi, wafanyakazi wa serikali kule mashinani hawajalipwa. Tuwache kuficha uchi. Mficha uchi hazai."
}