GET /api/v0.1/hansard/entries/1230897/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1230897,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230897/?format=api",
"text_counter": 25,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "KWAMBA, tukifahamu kuwa, familia ndio kiungo cha msingi cha jamii, nakutambua kwamba utamaduni wa Kiafrika unathamani sana asasi ya ndoa ambayo inahakikisha kuendelea kwa binadamu kupitia uzazi; tukizingatia ukweli kwamba Ibara ya 45(2) ya Katiba inaeleza kuwa kila mtu mzima ana haki ya kufunga ndoa na mtu wa jinsia tofauti, kwa msingi wa hiari baina ya wahusika; tukitambua pia kwamba Kifungu cha 162 cha Kanuni ya Adhabu kinamtia hatiani yeyote ambaye anashiriki tendo la ngono lisilo la kawaida na mtu yeyote kinyume na utaratibu wa asili; tukizingatia kuwa mahusiano na ndoa za jinsia moja na ngono inayotokana na mahusiano haya ni"
}