GET /api/v0.1/hansard/entries/1230902/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1230902,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230902/?format=api",
"text_counter": 30,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Naibu Spika",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Waheshimiwa, Hoja hii ilikuwa imemalizika katika kipindi cha mazungumzo ya Bunge. Sasa ni kuleta Swali hili muamue na nimethibitishe kwamba kuna akidi kwa minajili ya Bunge kuamua."
}