GET /api/v0.1/hansard/entries/1233139/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1233139,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1233139/?format=api",
"text_counter": 321,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": null,
"content": " Waziri, ninaomba tujengewe ukuta. Halafu, pesa ambazo zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya kujenga barabara ya Mto Mwagodi- Mbale ambayo Mhe. Haika ameitaja, zitumike kuimaliza. Kama barabara hii ingekuwa inapitisha magari, basi watu hawangetumia barabara ya muinuko ambayo iko na black spot . Kwa hivyo, ombi langu kwa Waziri nikuwa ninajua pesa ziliwekwa kwa Supplementary"
}