GET /api/v0.1/hansard/entries/123409/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 123409,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/123409/?format=api",
    "text_counter": 214,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Machage",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Roads",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika, huu ndio wakati wananchi wa nchi hii wanapaswa kuwatambua viongozi wazalendo ambao wana uchungu na utu; viongozi ambao wanamtambua kila mtu kwenye sehemu ya uwakilishi Bungeni kama binadamu, na kujua kwamba binadamu wote ni sawa."
}