GET /api/v0.1/hansard/entries/123410/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 123410,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/123410/?format=api",
"text_counter": 215,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Machage",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Roads",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Kwa wale, wale ambao wanapenda kusoma Biblia, wanajua kwamba wakati fulani, Mwenyezi Mungu alimuumba binadamu na binadamu akawazaa watoto wawili; Abel na Kain. Baadaye, Kain aliamua kumuua Abel. Mwenyezi Mungu akamuuliza Kain: âNdugu yako yuko wapi?â Kain akamujibu: âSijui.â Mwenyezi Mungu akamuuliza: âUnasema hujui na damu ya ndugu yako inalia mbele ya macho yangu?â"
}