GET /api/v0.1/hansard/entries/1234145/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1234145,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234145/?format=api",
"text_counter": 257,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kuria West, UDA",
"speaker_title": "Mhe. Mathias Robi",
"speaker": null,
"content": "na wale wanapata mapato ya chini – mahusltler wanaenda katika hizo kampuni kutafuta riziki. Watu wengine wanachukua nafasi hiyo kuwanyanyasa na kuwatumia vibaya kimapenzi badala ya kuwasaidia."
}