GET /api/v0.1/hansard/entries/1234147/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1234147,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234147/?format=api",
"text_counter": 259,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kuria West, UDA",
"speaker_title": "Mhe. Mathias Robi",
"speaker": null,
"content": "Pia, kuna wale mabosi ambao badala ya kuwapatia kazi wasichana, wanatanguliza maneno ya mapenzi. Ningependa kuchukua nafasi hii kushukuru sana na kupongeza Idara ya Wafanyikazi na tunaiomba iweze kutilia maanani jambo la kuwachunga wafanyikazi kila mahali."
}