GET /api/v0.1/hansard/entries/1236738/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1236738,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236738/?format=api",
    "text_counter": 407,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "ambayo imekuja sasa hivi na tunataka kupitisha, inaendelea kunyima Kaunti yangu ya Taita-Taveta fedha. Wakati wa mfumo wa kuangalia maeneo ambayo yatafaidika kwa pesa ya kusawazisha magatuzi, Kaunti ya Taita-Taveta ilikuwa inafaidika. Wakati wa kupitisha mfumo wa kugawanya hizi pesa kwa mara pili, yaani second generation, tulipata kwamba Kaunti ya Taita-Taveta imepewa Wadi mbili peke yake. Hizo Wadi mbili ni Kasighau na Chala. Wadi mbili kati ya Wadi 20 za Kaunti ya Taita-Taveta."
}