GET /api/v0.1/hansard/entries/1236773/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1236773,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236773/?format=api",
    "text_counter": 442,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Nashukuru sana, Bi. Spika wa Muda. Ninaongea kuhusu uhitaji wa wananchi ama eneo la Taita-Taveta wa hizi pesa za usawazishaji wa magatuzi. Bi. Spika wa Muda, kuna maeneo yalioachwa nyuma kimaendeleo na Taita- Taveta ilikuwa ni kati ya hayo maeneo. Hiyo pesa ilioekewa uwa ama kwa kimombo ilikuwa ring-fenced, ni ya kupeleka madawa hospitali, kupelekea wananchi maji, stima na kujenga barabara. Je, leo hii, wakati wa mfumo wa kugawanya hizi pesa kwa awamu ya pili, kuwacha Taita-Taveta inamaanisha ya kwamba Taita-Taveta imepata barabara?"
}