GET /api/v0.1/hansard/entries/1236783/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1236783,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236783/?format=api",
    "text_counter": 452,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "tukapeleka maji mpaka Kighombo Dam na tukajaza hilo bwawa la Kighombo na tukapea watu wa Mwatate na Voi maji. Tumenyimwa leo. Tunapata ya kwamba ni wadi mbili peke yake Taita-Taveta ambazo zinapata hizi pesa za Equalisiton Fund ambayo ni Chala. Kwa sababu ya kumbukumbu, Chala inapata Kshs6,339,919, Kasigau wanapata KShs6,998,---"
}