GET /api/v0.1/hansard/entries/1238292/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1238292,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238292/?format=api",
    "text_counter": 342,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Wameshindwa kusoma masomo yaliyotokea Rwanda mwaka wa 1994. Leo ikiwa karibu miaka thelathini, tangu matokeo ya Rwanda, na bado nchini watu wanauwana kiholela kimbari kupigania uongozi."
}