GET /api/v0.1/hansard/entries/1239195/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1239195,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1239195/?format=api",
"text_counter": 174,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "wa Ethiopia Airlines . Ninataka watu wasikize. Mheshimiwa alisema walipata bilioni mbili lakini ninataka kurekebisha hiyo. Walipata faida ya US$937 bilioni. Bw. Spika, ni vizuri watu wajue ni nini inaendelea. Mwenyekiti wa Ethiopia Airlines aliniambia Ethiopia Airlines iko na branches kadhaa. Iko na branch inaitwa;"
}