GET /api/v0.1/hansard/entries/1259558/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1259558,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259558/?format=api",
    "text_counter": 460,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Bw. Spika, wakulima wa ndengu pia wanahitaji mafunzo kuhusu mbinu za kisasa za kulima. Hayo mafunzo yatafanywa na hayo mamlaka ama Authority . Mamlaka hayo pia yataangazia utafiti ili kubaini mbegu itakayofaa zaidi kwa mchanga wa eneo fulani."
}