GET /api/v0.1/hansard/entries/1267358/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1267358,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267358/?format=api",
    "text_counter": 551,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, nimemusikiza mweshimiwa Wafula kwa makini. Lakini Kenya hii inajulikana watu ambao walikula pesa ya mahindi na anayejulikana ni mmoja pekee yake hapa na hatuna haja ya kumtaja na kuna ushahidi. Asante."
}