GET /api/v0.1/hansard/entries/1268658/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1268658,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268658/?format=api",
"text_counter": 303,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kifungu cha 11 cha Mswada huu kinasema kwamba mtu akitaka leseni ya kufanya biashara yoyote, anafaa kutangaza. Watu wanafaa kujua hatua za kufuatwa ikiwa wanataka leseni ya kufanya biashara fulani."
}